UNATAKA KUPATA MKOPO WA HESLB? BASI OMBA KOZI KATI YA ZIFUATAZO | Ajira updates

UNATAKA KUPATA MKOPO WA HESLB? BASI OMBA KOZI KATI YA ZIFUATAZO

Habari ndugu mzazi au mlezi au Mwanachuo mtarajiwa. Matumaini ya watanzani tuliowengi yapo mikononi mwa Bodi ya mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu(HESLB) kupitia serikali. Lakini ikumbukwe kwamba kila Serikali duniani ina vipaumbele vyake, na kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika wizara ya elimu ina Bodi ya mikopo ambayo hudhamini masomo ya wanafunzi wahitaji na wanafunzi watakaosomea programu ambazo ni vipaumbele vya Taifa kwa mwaka husika.

Hivyo basi wewe kama mwanachuo mtarajiwa unatakiwa kufahamu vipaumbele Vya serikali katika utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.

Kwa mwaka wa masomo 2017/2018 Serikali Kupitia Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu , watakao omba kozi zifuatazo wanauhakika wa kupata mikopo ya serikali kwa ajili ya masomo yao.

KUNDI A

Courses under this cluster include: -

(i) Education (Science) and Education (Mathematics);

(ii) Health Sciences (Doctor of Medicine, Dental Surgery;

(iii) Veterinary Medicine, Pharmacy, Nursing, Midwifery, BSc in Prosthetics and Orthotics, BSc in Physiotherapy, BSc in Health Laboratory Sciences, BSc in Medical Laboratory Sciences and BSc in Radiotherapy Technology) and other Health Sciences;

(iv) Civil and IrrigationEngineering;

(v) Petroleum and Gas Engineering.

KUNDI B

Courses under this cluster include:

(i) Engineering Programmes (Civil, Mechanical, Electrical, Mining, Mineral and Processing, Textile, Chemical and Processing, Agriculture, Food and Processing, Automobile, Industrial, Electrical and Electronics, Legal and Industrial Metrology, Maritime Transportation, Marine Engineering Technology,Electronics and Telecommunication, Computer, Computer Science Software, Information Systems and Network, Environmental, Municipal and Industrial Services, and Bio-Processing and Post-Harvest);

(ii) Agricultural and Forestry Sciences Programmes (Agriculture, Agronomy, Horticulture, Agricultural Economics and Agribusiness;

(iii) Forestry, Aquaculture, Wildlife Management, Life Sciences, and Food Science and Technology);

(iv) Animal Sciences and Production;

(v) Science Programmes (BSc General, BSc in/with Applied Zoology, Botanical, Chemistry, Physics, Biology, Microbiology, Molecular Biology and Biotechnology, Fisheries and Aquaculture, Aquatic Environmental Sciences and Conservation, Geology, Petroleum Geology, Petroleum Chemistry, Mathematics, Mathematics and Statistics, Environmental Science and Management, Environmental Health, Biotechnology and Laboratory, Wildlife and Conservation and Computer);

iv) Land Sciences Programmes (Architecture, Landscape and Architecture,Interior Design, Building Survey, Building Economics, Urban and Regional Planning, Land Management and Valuation, and Geospatial Sciences).

REFERENCE

SOMA HAPA

>>GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENTS’ LOANS AND GRANTS FOR THE 2017/2018 ACADEMIC YEAR

About Author
  • Hello, karibu kwenye blog yetu pendwa ya kukujuza habari mpya kuhusu ajira na elimu.Ungana nasi hapa ili usipitwe na nafasi za kazi mpya zinazotangazwa Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT