Details
Application deadline2017-08-14Business / Employer nameYETU Microfinance Bank PlcJob categoriesDriverJob RoleExperiencedPosition TypeFull TimeOrganization TypePrivate Sector
Location
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam
Description
NAFASI YA KAZI YA DEREVA
YETU Microfinance Bank Plc inapenda kuwatangazia nafasi ya kazi ya udereva kwa waombaji wenye sifa
KITUO CHA KAZI: IFAKARA
MAJUKUMU
Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubainin hali ya usalama wa gari Kupeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari Kufanya kazi zingine kadri atakavyoelekezwa na wakubwa wa kazi.
SIFA NA VIGEZO
Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 kwenye kampuni inayotambulika Awe na leseni ya udereva daraja E na C1 Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari yanayotambuliwa na chuo cha mafunzo ya ufundi stadi(VETA) Umri kuanzia miaka 35-45 Mchapaka kazi mwadilifu na mwenye kuzingatia muda
To apply for this job, please go to the following website>>bofya hapa>>
0 comments:
POST A COMMENT